Habari wanaJF, bila shaka kila anayesoma hapa ni mzima na afya, na kama sio Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako🙏
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa mkoa wa Mwanza, nimepata elimu yangu ya...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026.
Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...
Habari yako mhe. Tundu Lisu?
Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi.
Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa...
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.