Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter, wametoa notice kuwa sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents, maudhui ya mapenzi ya jinsia moja...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu.
Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia...
Dhana ya Kuabudu
Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.
Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.
Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako...
Kama Uenyekiti tu wa Chama chenye mbunge Mmoja hataki kuachia je Urais wa kutawala raia million 60 angeachia kweli?
Kwa Mifumo yake ilivyo Chadema wanapaswa kuishia Bungeni kama walivyoshauriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.