Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Asalam aleykum...twende kwenye mada
Kusali jumapili
Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato.
Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili...
Well Gamondi and yanga part away. it's over.
Yanga will have a new manager next season as tonight:
Gamondi refused a long term contract
Gamondi is still in contact with other big teams...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Hello JF, nina mdogo wangu mwenye umri 20+ anasumbuliwa na depression & suicidal thoughts karibu mwaka sasa. Tulimpeleka kwa therapist, anafanyiwa therapy lakini pia aliandikiwa dawa aina ya...
DIZASTA NI MDOGO WA DAMU WA KING CRAZY GK ALIYECHAGUA KURAFIKIANA NA PROFESSOR JAY NA MR EBBO KATIKA MAKUZI YAKE.
1. Wawili hawa wana asili ya mkoa wa Mbeya lakini wamesikika zaidi wakiwakilisha...
Hello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta...
Najua wengi mmepata Idea tofauti[emoji23]
shida hii ya kuishi nyumba geti kali saa 3 usiku gate lishafungwa. Baby kanitext yupo nje na mimi nina hamu ya kumuona. Nikajiongeza nikaruka ukuta huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.