Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya...
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.
Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio sha togwa!
Kiwanda cha...
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kuchangia...
Nawakumbusha:
Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.