Juma Athumani Kapuya. mwanasiasa toka Tbora aliyefikia ngazi ya juu ya siasa kwa kuwa Mbunge wa Urambo, Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, na Professor wa...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
TUSIPOVAMIA TUTAENDELEA KUVURUGANA.
Na, Robert Heriel.
Naiona future ya nchi yetu ikizidi kudidimia. Nakiona kizazi hiki kikiwa na mwisho mbaya wa kusikitisha. Kwa kweli tunayosababu ya kuchukua...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.