Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI
📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati
📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN
Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995.
Niko Tanga.
Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.