Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana...
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi laba wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC...
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria. Natanguliza...
Unaweza kudhani haya mambo ya kurithishana Vyeo Yako CCM na Chadema tu la hasha ni Dunia nzima
Tuzidi kuwaombea akina Tundu Lisu na Paul Makonda Mungu wa mbinguni awatetee
Mbarikiwe Nyote 😃😃
I know I might be the one who stimulate Ricardo Momo to improve his presence in the show. But not him to resign.
I believe wasafi can reach a deal with him. We depend on him to give us more...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.