Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wakubwa nina tatizo la kusikia nakuwa kama kiziwi.
Nimeenda hospital ekanywa nikapewa dawa za miezi miwili lakini sijapata nafuu.
Msaada hata dawa ya kienyeji anayejua ya kutoa kelele masikioni.
Miezi kadhaa iliyopita, tulikumbwa na janga kubwa la mgao wa umeme ambalo lilileta usumbufu wa kila aina kwa Watanzania. Watu wakawa 'frustrated' na umeme ukawa ndo story kila kona na mitandao ya...
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 hivyo zitashiriki kombe la Shirikisho. Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.