Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
3 Reactions
6 Replies
71 Views
Hivi wasanii kwa kaliba yao na ubutu wao wa uelewa, kuna la maana wanaweza kulijenga ktk meza ya majadiliano yahusuyo sera, mipango, mitazamo ya sanaa na mustabari wake? Kulikuwa na haja gani ya...
1 Reactions
4 Replies
8 Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
17 Reactions
70 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale.Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele. Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo.Pisi Za Mji...
0 Reactions
3 Replies
11 Views
Watalam wamebaini kua hewa chafu inachangia matatizo ya akili hii imebainika kwa tafiti iliyofanyika India --- Hewa yenye Sumu Inaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili. Hivi ndivyo Jinsi inavyo athiri...
1 Reactions
2 Replies
56 Views
Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Hotuba...
2 Reactions
12 Replies
212 Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
21 Reactions
64 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
0 Reactions
31 Replies
325 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,162
Posts
49,794,205
Back
Top Bottom