Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Wachina ni wachapakazi sana, wabahili sana, wambea sana, wanapenda sana sigara lakini pia ni wezi sana.
Ukipata kazi kwa wachina ujue utafanya kazi kweli kweli, iwe ni kiwandani, barabarani au...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoewo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.