Wakuu mko salama?
Imewahi kutokea mara kadhaa mtu anachukuliwa na watu wanaojitambulisha kama polisi mwisho wa siku anaokotwa sehemu amekufa, wananchi wakisema waliomchukua ni polisi wanagoma...
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
Kutokana na ukomavu wa Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM kidemojrasia, taarifa kutoka Lumumba zinasema Samia ameruhusu yeyote anayetaka kuchuana naye kuwania Urais 2025 kupitia CCM...
Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26.
Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.