Kwa walio wadada serious kuna huyu mbulu ni mwema yupo single ni amemaliza jkt mwezi uliopita sasa hivi ni mlinzi mshahara mzuri . Mdogo 29 yupo arush mpigie simu namba 0687459174 huyu hapendi mtu...
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
Kulikuwa na wafalme kama hawa
1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita
2. Professor J
3. JUMA Nature
4. Inspector Haroun
5. Ferouz
6. Mr. Nice
7. Mr. Blue
8. Mangwea
9. Afande Selle
10. 20...
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Wakuu....
Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani..
Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru...
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.
Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.