Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Utachati naye kila muda. Utampigia kila siku na kumwambia nakupenda kila wakati lakini kuonana naye atakuzungusha sana tu. Ila kuna mwenzako huko anauliza unakuja au hauji. Soma Tena Kwa Mara ya...
4 Reactions
3 Replies
42 Views
Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka...
41 Reactions
203 Replies
4K Views
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Hali ya umaskini Kwa Wafanyakazi wa Umma Kwa Tanzania ni kubwa sana. Just imagine yaani 60% ya Watumishi wote wa Umma wanalipwa chini ya 500k. Pamoja na kulipwa kiasi hicho kidogo Bado wanakatwa...
7 Reactions
25 Replies
585 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Mama yetu kukosekana kwako leo kwa kweli kumetusononesha sana sisi watoto wako. Sauti yako ilikuwa ni muhimu sana leo. all ini all kila lakheri kwenye majukumu yako.
0 Reactions
7 Replies
175 Views
Hii sio haki Hayo ni maneno ambayo walikuwa wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi, Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawauliza ndugu zetu mmepatwa na nini siku...
1 Reactions
12 Replies
336 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
11 Reactions
93 Replies
2K Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
20 Reactions
144 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,240
Posts
49,540,690
Members
667,370
Latest member
slasymagai
Back
Top Bottom