Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
3 Reactions
6 Replies
248 Views
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA ANDIKA NAMBA YA KABILA LAKO UWAJUE NDUGUZO 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
4 Reactions
65 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha...
2 Reactions
6 Replies
533 Views
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
6 Reactions
19 Replies
273 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
25 Replies
758 Views
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini...
3 Reactions
18 Replies
373 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
12 Reactions
75 Replies
846 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,883
Posts
49,530,924
Members
667,269
Latest member
peter one
Back
Top Bottom