Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya...
A LETTER FROM THE GRAVE
A MUST READ !
_The story of LEE KUAN YEW (Ex Prime Minister of Singapore for 31 years)
His OPEN LETTER TO MALAYSIAN LEADERS_
Dear Malaysian leaders, I want to...
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Wasalam mabibi na mababu...
Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura.
Katika Jambo lililonishangaza...
Sijui na sidhan kama kwa sasa kuna Kiongozi tena Mkuu wa Mkoa tu ambaye anaweza kuwa na Backup ya Viongozi wa Dini kama alivyokua Mh Paul Makonda.
Hakuna na hakuna hakika!!.
Kwakua ukikubalika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.