Unaweza ukawa na haki na kweli. Lakini kwa hali iliyopo ambapo CCM/serikali inatafuta upenyo wa kuiua chadema, usingelifanya hivyo. Umewapamaadui wa chadema mahali pa kuania. Unadhani covid 19...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Habari zenu.
Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo?
Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.