DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo.
Novemba 13, mwaka 2012...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata...
Habari!
Takribani week 2 zilizopita, Shirika la madaktari wasio na mipaka (Medicins Sans Frontieres) ambalo linajihusisha na huduma za afya kwenye kambi za wakimbizi walitangaza nafasi za kazi...
Wakuu habari za Leo.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam.
Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.
Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.