Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi?
Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote...
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata...
Kiuchumi;
Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama
C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana...
Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa...
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.