Wakuu.katika harakat za kufatilia taarifa za coin tofauti tofauti nimekutana naoffer kama izi .....nyingi ikiwemo na kwenye account za watu wakubwa kama Trump. Je ni kweli watuma izo $5000
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi...
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇...
TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA...
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.