Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem tulikua tunakutana kila siku sehem ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere bridge kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo...
Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.