Taarifa za kivita zimeonesha kuwa wiki tatu za mapigano kwenye kambi ya Jabalia kaskazini ya Gaza ni moja ya mapambano makali vikosi vya Israel ilivyokutana navyo palipokuwa hapakutarajiwa hasa...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Kwa mujibu wa karibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma anasema Vigogo wa Serikali Wamekwepa kueleza vyanzo vya Mali na utajiri wao.
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu.
Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.