Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kuna video nimeiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulidi Kitenge ikimuonesha Rais wa Nigeria Mheshimiwa Tinubu akianguka chini wakati akitaka kupanda gari. ambapo ni kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
6 Reactions
54 Replies
412 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃
6 Reactions
27 Replies
366 Views
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa...
1 Reactions
9 Replies
55 Views
…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981. Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979. Ndani ya miaka...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
3 Reactions
224 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au...
5 Reactions
27 Replies
836 Views
Wasalaam. Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho. Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
0 Reactions
4 Replies
11 Views
Rais Bola Tinubu alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles. Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,730
Posts
49,864,611
Back
Top Bottom