Naam, ni Hakika!
Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024.
Mashindano...
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓
Mimi ni kijana wa makamo tu...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Wanajanvi Salaam,
Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia.
Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.