Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Haya sasa,
Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.
Changamoto ya kuishi kwnye familia ya...
Utangulizi
Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.
Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa
Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake...
Habari za hapa wana jamii,
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.