Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
4 Reactions
39 Replies
944 Views
Umofia kwenu wanajamvi na poleni sana na misiba ya waziri mkuu mstaafu na mawaziri waandamizi wastaafu. Hakika kwa mola tutarejea. Naandika bandiko hili kwa masikitiko makubwa sana, kwakuwa naona...
1 Reactions
10 Replies
773 Views
Habari zenu. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto. Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na...
6 Reactions
71 Replies
1K Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
14 Reactions
63 Replies
2K Views
Wakuu mnisamehe,ukweli NI kwamba Mimi NI mgumu Sana kuamini maneno ya watu hasa kuhusu uzushi Fulani. Kilichonileta hApa NI kuwa nilikuwa nabishana Sana na washkaji zangu kijiweni kuhusu wadada...
5 Reactions
17 Replies
107 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
16 Reactions
206 Replies
3K Views
Niwakaribishe wale wenye kuweza kusoma hukumu na kuelezea inasemaje Kwa mnaonijua, mimi nitakuwa na kitu changu cha Jammaika nikifuatilia michango yenu. Karibuni sana. Mnapotuona msituchukulie...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life 1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
11 Reactions
56 Replies
531 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
77K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,698
Posts
49,863,617
Back
Top Bottom