Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
Siku za karibuni,tutadikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa waRuvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilisge Rais kwenye maxishi hayo ili kupunguza...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Wakuu mnisamehe,ukweli NI kwamba Mimi NI mgumu Sana kuamini maneno ya watu hasa kuhusu uzushi Fulani.
Kilichonileta hApa NI kuwa nilikuwa nabishana Sana na washkaji zangu kijiweni kuhusu wadada...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.