Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.. Ila...
Kuna wimbi jipya na linapita kwa kasi sana. Ndani ya hilo wimbi yapo tunayoyajua lakini yapo ambayo hatuyajui ama tunayahisi, na wakati ukifika ndio tutajua kama tulikuwa hatujui. Audha kama...
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti...
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini...
Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika.
Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.