Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wasalaam.
Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho.
Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.
Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.