Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
573 Replies
42K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwetu sisi wapiga kura je hii ni promotion au demotion??
7 Reactions
24 Replies
751 Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
25 Reactions
167 Replies
3K Views
Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma Kituko Leo...
6 Reactions
22 Replies
427 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
22 Reactions
118 Replies
1K Views
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
14 Reactions
301 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃
5 Reactions
24 Replies
184 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,723
Posts
49,864,493
Back
Top Bottom