1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Naam Karibu hapa Kwa mahitaji wa CHETI cha kuzaliwa
Haina haja ya kwenda Tena Rita kufatilia cheti cha kuzaliwa, shughuli yote tunaifanya Kwa mtandao (eRitaService)
Unachotakiwa kufanya ni kuwa...
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa
Je anaweza kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.