Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma...
Habari zenu.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto.
Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na...
Siku za karibuni, tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.