Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais wa Senegal, Bassirou Faye amesema faida itakayotokana na mauzo ya mafuta na gesi "itasimamiwa vyema" wakati taifa hilo la Afrika Magharibi likianza kuzalisha mafuta kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃
9 Reactions
63 Replies
830 Views
Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?? hii ninayoijua n ya kulipia ila ni free kwene browser
0 Reactions
4 Replies
19 Views
Hello Great Thinkers, Hii sentensi ya Mama ilileta confusion kwa wengi. Wengi, walidhani Mama amemaanisha sasa Mafisadi ruhusa kuvuna. Kiukweli mimi nadhani alikuwa anamaanisha kitu tofauti. At...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto. Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na...
7 Reactions
88 Replies
2K Views
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo. Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
1 Reactions
17 Replies
146 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa? Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
3 Reactions
7 Replies
43 Views
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
4 Reactions
16 Replies
583 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,739
Posts
49,864,947
Back
Top Bottom