Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mimi ni mdada Umri wangu ni 28 Mrefu kiasi Rangi maji ya kunde Nina mtoi 1 Mengineyo: pm nahitaji mwenza Awe serious na mwenye kujitambua Muislam mwenye hofu ya mungu Umri 32-48
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
6 Reactions
30 Replies
807 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
15 Reactions
81 Replies
810 Views
Ni aibu sana serikali kukubali kuwekwa mfukoni mwa Tapeli. Wananchi wanatapelliwa Kwa matapeli kutumia jina la Waziri Mkuu, Kwa Jina la Rais wa Zanzibar na Kwa jina la Rais Samiah. Lakini hakuna...
2 Reactions
5 Replies
72 Views
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
2 Reactions
16 Replies
176 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi, naimani mwaendelea salama kabisa na majukum yenu ya kulijenga taifa hili la Tanzania ili lifikie uchumi wa kati kufikia mwaka 2020-2025. Nisiwe na...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
59 Reactions
328 Replies
22K Views
Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Asalaaam aleykum mm n kijana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye umri wake uwe kuanzia 18 had 30 HV mm najishughulisha na ufugaji ila yey shughul c lazma mm n mrefu wastn fut 5.5,maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,645
Posts
49,862,614
Back
Top Bottom