Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested...
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi
Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi:
'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.