Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
8 Reactions
39 Replies
998 Views
unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela. Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
3 Reactions
17 Replies
156 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
2 Reactions
117 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
86 Replies
927 Views
Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa jpm wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no...
1 Reactions
4 Replies
30 Views
Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali...
1 Reactions
4 Replies
37 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
758K Views
Hi guys🙋, i hope mko poa wote. Mwenye kuhitaji kabati kubwa la nguo chukua hili, ni zuri sana. Location: Kigamboni Kisiwani, price: 300k Contact : 0697224996
2 Reactions
6 Replies
98 Views
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink...
8 Reactions
43 Replies
943 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,480
Posts
49,858,613
Back
Top Bottom