Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Habari nipo Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria.
Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa.
Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026
Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
00...
Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji.
Ninaweza kukusaidia kuunda...
Wakuu nina PC hapa ya muda sana yaan GEN1 series ya Hp chromebook!! Inatumia os ya chrome.
Hivi ukitaka iwe na window inawezkana? Maana mimi sielewi ilivyo ilivyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.