Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa...
Wakuu kwema,
kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi.
Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii.
Majasiri wengi...
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.