Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi...
12 Reactions
42 Replies
457 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
2 Reactions
48 Replies
242 Views
Usiku wa tarehe moja kuingia tarehe mbili mwezi wa pili mwaka 2020 pale kwenye uwanja wa majengo mjini Moshi ulishuhudiwa na ziraili kuondoka na roho zaidi ya 20 za waumimi wasio na hatia...
67 Reactions
428 Replies
63K Views
Habari? Nipo Dar nahitaji line ya safaricom niitumie kuconnect na paypal. Kwa ambae anauza naomba tuwasiliane WhatsApp +255759702766 Call: +255769931891
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake. Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
HISTORIA YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM Abushiri bin Salim alikamatwa sehemu za Handeni baada ya kusalitiwa akiwa anafanya mipango ya kutorekea Mombasa akiwakimbia Wajerumani. Vita vyake vya...
3 Reactions
4 Replies
94 Views
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria. Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
12 Reactions
27 Replies
859 Views
UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha...
13 Reactions
272 Replies
41K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,520
Posts
49,859,512
Back
Top Bottom