Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
6 Reactions
156 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Hivi Binti mkubwa atakubali vipi na kuzidiwa nguvu na mtu mmoja tena kwenye bar ya kask ambapo Kuna nyomi ya watu. Kwanini hakupiga kelele za kuomba msaada? Hiyo bar ina walinzi wakutosha...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma TZ kidg nikahamia marekani...
1 Reactions
20 Replies
99 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
11 Reactions
96 Replies
732 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
77K Views
Habari za Weekend, naomba kufahamishwa kuhusu biashara hii ya Mafuta maana kusema kweli Mafuta ndiyo yanaendesha uchumi wa nchi. Najua JF ni kisima cha maarifa Hivyo nina maswali machache! 1)Je...
1 Reactions
11 Replies
310 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
13 Reactions
57 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
39 Reactions
146 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,349
Posts
49,855,125
Back
Top Bottom