Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akiongea wakati wa kupokea Magawio ya Serikali,Rais wa JMT DkT.Samia amesema Hajawahi Sikia Wala kuona Waziri wa Fedha Dk.Lameck Mwigulu Madelu akisifiwa.👇👇 My Take Kuna Baadhi ya kazi huwezi...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
5 Reactions
109 Replies
960 Views
Tuna mikoa mingi kwa hapa Tanzania yenye makabila tofauti yaliyo na mila na tamaduni zao Unahisi ni lipi kabila linakuvutia?
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
10 Reactions
280 Replies
3K Views
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
9 Reactions
110 Replies
1K Views
  • Suggestion
1. Kuwekeza katika elimu na mafunzo ya ufundi ili kuongeza ujuzi wa nguvu kazi. 2. Kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuboresha mazingira ya biashara. 3. Kuimarisha miundombinu ya...
0 Reactions
3 Replies
12 Views
Naomba kusaidiwa uelewa kwa uwekezaji wa 10M utt Amis faida yake na mfuo bora upi kwa mwezi, nusu mwaka au mwaka
5 Reactions
8 Replies
658 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
77 Reactions
5K Replies
267K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
8 Reactions
67 Replies
425 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,336
Posts
49,854,810
Back
Top Bottom