Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Mwenyekiti wa bavicha na mgombea kiti cha uenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria John Pambalu amemtuhumu mshindani wake bwana H Wenje kuwa alihonga wajumbe na pia alisafirisha wajumbe kutoka mikoa...
1 Reactions
20 Replies
268 Views
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha. Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa...
23 Reactions
194 Replies
4K Views
Raisi Biden Ana msimamo wa wastani kuhusu suala la Palestine. Trump ni tofauti kabisa. Yeye ni pro Israel na Netanyahu kindakindaki. Kwa hivyo akishinda uchaguzi, Hali ya Palestine itakuwa...
2 Reactions
2 Replies
22 Views
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke. Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume. Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
1 Reactions
20 Replies
136 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
51K Replies
3M Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
3 Reactions
24 Replies
188 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema baada ya maongezi yake na Rais Samia kule Ubelgiji aliweza kulipwa kiinua mgongo chake Lissu anasema kwa mujibu wa Maelezo aliyopewa na Wabunge...
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na...
3 Reactions
13 Replies
184 Views
Tunamtakia Kila la heri Rais Samia kwenye ziara hiyo ya mdau Wetu muhimu wa Maendeleo Korea Kusini. Ikiwezeoana Awapatanishe Kim wa North Korea na South Korea.
0 Reactions
4 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,222
Posts
49,740,761
Back
Top Bottom