Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita. Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri.
9 Reactions
192 Replies
12K Views
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza...
0 Reactions
9 Replies
72 Views
Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion...
1 Reactions
5 Replies
120 Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
10 Reactions
124 Replies
865 Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
3 Reactions
19 Replies
102 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
51K Replies
3M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
74K Views
Huu uzi uwe wa kuwaumbua kwa ushahidi usio na mashaka wale wote wanaomtupia mawe Paul Makonda aliyejipambanua kama mtetezi wa wananchi wanyonge na pia kumpa maua yake, hivyo Kama umewahi...
6 Reactions
36 Replies
441 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
14 Reactions
164 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,175
Posts
49,739,708
Back
Top Bottom