Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na...
Mwenyekiti wa bavicha na mgombea kiti cha uenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria John Pambalu amemtuhumu mshindani wake bwana H Wenje kuwa alihonga wajumbe na pia alisafirisha wajumbe kutoka mikoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.
Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania...
Certainly, I am truly concerned about how alcohol is being sold in our country. Children under the age of 18 can easily access alcohol, leading to problems and bad drinking habits at such a young...
Ni kiongozi asiye faa kuwa kiongozi wa umma amedhulumu uhai wa watu wengi Sana amezuiwa kuingia US amefilisi raia Sijui kwanini huyu amepewa nafasi wakati hata aliyemfuga alimuogopa kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.