Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea...
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana...
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufuatilia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
Despite kupewe onyo kali lilitolewa na mahakama ya ICJ siku chache zilizopita, Israel imeendelea kushambulia kambi ya wapalestina Rafah kwa kuilipua na mabomu yenye paundi 2000 zaidi ya mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.