Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

#WorldCupQualifiers 🕒FT Nigeria 1-2 Benin G. Bissau 1-1 Egypt Uganda 1-2 Algeria
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Na mara kwa mara ninapoziona Angani huwa nakuwa na Hofu kwani nasikia nyingi ni za zamani hazifanyiwi Service. Pona pona yake ni Mganga wake Hatari na Mizimu ya Kabila moja Afrka lenye Urafiki...
4 Reactions
74 Replies
663 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
32 Reactions
125 Replies
2K Views
Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskeli, Haendi kilometer nyingi kwa siku, ni kilometa kama 60 kwa siku, pia hutumia baadhi ya siku kupumzika na kutalii sehemu alizofikia...
4 Reactions
41 Replies
846 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
46 Reactions
328 Replies
5K Views
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
1. Nchi kuwa na ufalme haimaanishi kutokuwa na demokrasia. Kuna kitu kinaitwa constitutional monarchy/ufalme wa katiba ambao unadhibitiwa na katiba huu unaweza kuwa utawala wa kidemokrasia kabisa...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimeweka aina ya betting hii hapa ila naambiwa nimepogwa, naomba kuelewashwa tafadhali. Kwa uelewa wangu niliposema away team clean sheet no nilimaanisha team ya igenini ifungwe au nielewa vibaya?
0 Reactions
10 Replies
194 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
40 Reactions
253 Replies
5K Views
Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
9 Reactions
70 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,005
Posts
49,847,521
Back
Top Bottom