Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Na mara kwa mara ninapoziona Angani huwa nakuwa na Hofu kwani nasikia nyingi ni za zamani hazifanyiwi Service. Pona pona yake ni Mganga wake Hatari na Mizimu ya Kabila moja Afrka lenye Urafiki...
5 Reactions
97 Replies
663 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, ni vigumu Tanzania kumpata mtu mwingine kama huyu baba. Leo hii watu wanapanga foleni kwenda kulipa kodi TRA. Mapato ya Serikali hayajawahi kuwa chini ya Trilioni...
3 Reactions
98 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa. Naomba maoni yenu kuhusu mambo...
0 Reactions
10 Replies
158 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Kama kawaida yake, Prof Kabudi kwa msisimko mkubwa amewajibu Watanzania walioanza tetesi kuhusu Raisi Magufuli kuwa raisi wa nchi zaidi ya awamu mbili, kuwa jambo hilo halipo kabisa "kulingana na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
3 Reactions
91 Replies
800 Views
Kwa ngazi ya Kimataifa, Watanzania wanafahamika kuwa ni wapole, wakarimu, na wengine huwatuhumu kuwa ni waoga, na wavivu waliozubaa! Wakenya wanafahamika kwa ubunifu na kujua kuchangamkia fursa...
5 Reactions
16 Replies
267 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
12 Reactions
206 Replies
3K Views
(Beyond two -term limit). 1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi? 2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5...
10 Reactions
358 Replies
23K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,005
Posts
49,847,584
Back
Top Bottom