Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
6 Reactions
15 Replies
422 Views
MKUU wa mkoa katika moja ya mkoa uliopo Kanda ya Ziwa, anatuhumiwa kumwingilia kinyume na maumbile na kumlawiti mwanafunzi wa kike anayesoma katika chuo kikuu cha St. Augustine jijini Mwanza...
1 Reactions
25 Replies
26 Views
INAUMA SANA! Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda. #Sehemu #ya - 1 Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda...
12 Reactions
115 Replies
37K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
7 Reactions
145 Replies
10K Views
DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa...
0 Reactions
5 Replies
56 Views
Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda...
9 Reactions
57 Replies
864 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Hivi inchi hii iliyojaa madini, ardhi ya kutosha idadi kubwa ya watu. Bado tupo kizazi Cha taarifa. Ila bado kuna vijana wanaona bila Ajira maisha ndio basi. Mm mkoa ninao ishi mwajiriwa wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
4 Reactions
105 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,046
Posts
49,848,342
Back
Top Bottom