Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini, Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
8 Reactions
60 Replies
948 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
21 Reactions
515 Replies
13K Views
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
2 Reactions
29 Replies
604 Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
8 Reactions
398 Replies
12K Views
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea. Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi. Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure...
4 Reactions
10 Replies
83 Views
Hakika Mungu ameiumba dunia kwa ufundi mkubwa sana na akawaweka viumbe kisha akatugawa kwa matabaka mbalimbali na akawakadiria riziki kila mtu kwa nafasi yake na kwa usawa ili dunia ipate kusonga...
1 Reactions
3 Replies
24 Views
Naona mambo yameanza kunukia nukia kwa wale ambao tunasubiria kupata huu mchongo ni muda sasa wa kukaa kitaalamu na kwa password zaidi Mungu atujalie sisi jobless tupate hii kazi angalau...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
16 Reactions
168 Replies
8K Views
Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga...
1 Reactions
10 Replies
242 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,277
Posts
49,853,260
Back
Top Bottom