Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawatangazia taarifa ya maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini kuhusu nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya...
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na...
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya...
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi.
1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
Akifanya mahojiano kwa njia ya simu na mtangazaji wa EATV, Mh. Nkamia amesema kuwa yeye ameamua kupeleka muswada huo binafsi kwa spika wa bunge kutokana na serikali kutumia gharama kubwa za...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.