Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar, Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini leo wote walikuepo hadi forward jipya la mchongo. Ila ni upuuuuuzi mtupu. Naitabiria...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
9 Reactions
101 Replies
2K Views
1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE...
0 Reactions
3 Replies
32 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawatangazia taarifa ya maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini kuhusu nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya...
5 Reactions
98 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
2 Reactions
23 Replies
162 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
15 Reactions
268 Replies
5K Views
Zanzibar and Arusha in new cooperation to boost tourism investment in Tanzania Arusha. Zanzibar and Arusha will cooperate in an effort to boost investments in Tanzania’s tourism sector. Zanzibar...
1 Reactions
15 Replies
509 Views
Kino Yves ni mtalii Raia wa Ufaransa anayezunguka Dunia nzima Kwa baiskeli ya miguu mitatu kama Ile ya walemavu wa miguu inafana kidogo Alipofika kigoma kijijini sana alikutana na meanakijiji...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
1 Reactions
13 Replies
262 Views
Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
2 Reactions
7 Replies
361 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,247
Posts
49,852,506
Back
Top Bottom